Wanafunzi wakiwa katika majadiliano wakati wa vipindi vya jioni hapa kituoni Bright Light mkoani Geita.
Baadhi ya wanafunzi wakiwa darasani hapa kituoni Bright Light.Wakati masomo yakiendelea.
Mwenyekiti wa asasi ya Bright Light Mch. Robert Ngai (wa tatu kutoka kulia) akiwa na watumishi wa kituo cha elimu cha Bright light siku ya kumuaga mwl. Polle George (wa nne kutoka kulia).
Walimu na wanafunzi wa kituo cha elimu cha Bright Light wakati wa kumuaga mwalimu Polle George(wa tano kutoka kushoto).
Mwalimu Zahara Hamis akiwa darasani katika kituo cha elimu cha Bright Light mkoani Geita.
Hili ni shamba la katani ambalo mkurugenzi mtendaji wa Bright Light ndugu Mathew Daniel alilitembelea wakati akifanya utafiti kuhusu kilimo cha katani mkoani Morogoro.