Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

large.jpg

mkurugenzi mtendaji wa asasi ya Brightlight Organization wa tatu kutoka kushoto ndugu Mathew Daniel akiwa na timu ya watafiti kutoka katika vyuo mbalimbali vya maendeleo ya kijamii nchini Tanzania.

large.jpg

Wanafunzi wakiwa katika majadiliano wakati wa vipindi vya jioni hapa kituoni Bright Light mkoani Geita.

large.jpg

Baadhi ya wanafunzi wakiwa darasani hapa kituoni Bright Light.Wakati masomo yakiendelea.

large.jpg

Mwenyekiti wa asasi ya Bright Light Mch. Robert Ngai (wa tatu kutoka kulia) akiwa na watumishi wa kituo cha elimu cha Bright light siku ya kumuaga mwl. Polle George (wa nne kutoka kulia).

large.jpg

Walimu na wanafunzi wa kituo cha elimu cha Bright Light wakati wa kumuaga mwalimu Polle George(wa tano kutoka kushoto).

large.jpg

Baadhi ya vituo vya asasi ya Brightlight vinavyotoa elimu mkoani Geita.

large.jpg

Baadhi ya watoto wanaohudumiwa na asasi ya Bright Light.