Envaya

BUSATA GROUP

Amateka

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

Busata Group ni shirika la kijamii ambalo makao ya makuu ya jijini Mwanza, limeanzishwa tarehe 27/7/2009, likiwa na watu kumi na tatu, wanaume saba na wanawake sita, shirika linajishughulisha na kuwasaidia watoto yatima,waishio katika mazingira hatarishi,walemavu wa ngozi na pia kutunza mazingira, office zetu zipo maeneo ya Igogo nyuma ya HOspital ya bugando.

Shughuli

Shirika letu linajishughulisha na kuyasaidia makundi yote yaliotajwa hapo juu kwa kuwaunganisha na mashirika mbalimbali yanayo shughulika na watoto kulingana na mahitaji la watoto husika