Envaya

kikundi cha amkeni vijana(KIAVI) kesho kinakutana na wadau wa michezo wa wilaya ya magu mjini kwaajili ya kikao kilichoandaliwa na kiavi kwaajili ya kuanzisha umoja wa wanamazoezi ili kuwafanya vijana watumie muda wao kwenye mazoezi ili kujenga afya bora na pia kujikinga na magonjwa kama kisukari n.k.tunawakaribisha wadau wote kwa mchango.

4 Februari, 2012
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (1)

KIKUNDI CHA AMKENI VIJANA (Magu-mwanza) alisema:
mchakato wa kuanzisha clubs za michezo zinaendelea leo saa 10jioni, tutakuwa na mazoezi na timu ya vijana wa shule za msingi za hapa magu, waliochini ya kikundi cha amkeni vijana (KIAVI) Picha ya tukio zima zitawaijia baada ya mazoezi haya.
11 Februari, 2012

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.