Parts of this page are in Swahili. Edit translations
1. Mada iliyowakutanisha vijana wengi kujadili ili kuepukana na umaskini
2.Baadhi ya vijana wa wilaya ya Magu waliohudhuria mdahalo unaoendeshwa na KIAVI maeneo ya taasisi ya elimu(TEACHERS RESOUCES CENTER-TRC) MADA"MATATIZO YATOKEAYO TANZANIA NI ZAO LA UTANDAWAZI NA UWAJIBIKAJI MBOVU"
3.mwenyekiti wa Kiavi Bw Gabriel Samalu Ng'osha akichangia mada hiyo katika mdahalo huo.
Comments (0)
kikundi cha amkeni vijana(KIAVI) kesho kinakutana na wadau wa michezo wa wilaya ya magu mjini kwaajili ya kikao kilichoandaliwa na kiavi kwaajili ya kuanzisha umoja wa wanamazoezi ili kuwafanya vijana watumie muda wao kwenye mazoezi ili kujenga afya bora na pia kujikinga na magonjwa kama kisukari n.k.tunawakaribisha wadau wote kwa mchango.