Log in
Africa Upendo Group

Africa Upendo Group

Dar es salaam, Tanzania

1.Bee keeping project

We are planning to start a new project in collaboration with Tanzania Forest Fund (TaFF)

 

The project will be funded by Tanzania Forest Fund.

We Encourage community to protect their Environment through TaFF.
2.Mwl Gilbert Y Muze Talented & Science Children school Project

TUNATARAJIA KUJENGA SHULE YA KUKUZA VIPAJI VYA WATOTO KUANZIA MIAKA 6_13

Watoto wana vipaji sana.kama tutavitafuta na kuvitambua na kuvikuza hapo baadaye taifa litapata wataalam wazuri.

Watoto wanajua kuimba.kucheza.Dungeness vitu pia wakiongozwa hatimaye wanakuwa wataalam wazuri kama madaktari.maengineer n.k

 

3. YOUTH PROJECT

MRADI WA KILIMO CHA KUMWAGILIA NA UFUGAJI

Mwanga  Agriculture/Aqualculture Centre.

Tunakusudia kuanzisha kituo cha kufugia samaki ambacho kitatoa mafunzo ya kufuga samaki kivitendo kwa wanajamii mbalimbali hapa Tanzania na nje ya Tanzania kwa vipindi tofauti tofauti vifupi vifupi ili kutoa muda zaidi kivitendo.

Hii ni Project kubwa ambayo itahitaji wataalamu wa nje na ndani na kwa maana hii tunaomba mtuunge mkono wa shirika na ikiwezekana tupate marafiki wa kutusaidia kufanikisha mradi huu mkubwa.

Makusudio yetu ni kuwa na madarasa ya kufundishia,Labs,Hostels,Computer Lab,Viwanja vya michezo,Mabwawa ya mifano(Demostrations Ponds)Kiwanda cha kusindika samaki,Soko la jumla na rejareja,Maduka,Hotel ya kitalii,maduka .sambamba na kilimo cha umwagiliaji n.k

4. GRADUATEPROJECT

Kijiji cha Matipwili kiko katika Kata ya Mkange,wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani.

Wanasemina wajasiriamali kutoka Mikoa ya Dar es salaam na Pwani wakichangia mada katika semina iliyofanyika tarehe 21 November siku ya Wavuvi Duniani pale Millenium Tower.

 

Picha ya chini ni Mkurungenzi wa Ufugaji samaki katika Wizara ya Uvuvi na Maendeleo ya mifugo Dr.Mahika akifundisha na kuwahamasisha wana semina kuhusiana na njia bora na jinsi ya kujikwamua katika kipatao na kiuchumi pale watakapoamua kujikita katika kufuga samaki.