Baadh ya miradi ya ALECO inahusisha watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi, watoto yatima na watoto wa mitaani. Hao ni baadhi ya watoto wanao lelewa na shirika la ALECO kama wanavyo onekana pichani. Wakiwa na mwallimu wao Anna Paulo katika kijiji cha sigunga mkoani Kigoma
Maoni (1)