Hili ni eneo la Hifadhi ya Msitu lililopo kwenye Milima inayopatikana kandokando ya Ziwa Tanganyika katika Visiwa vya Kilando na Sunuka. Ziwa hili na Misitu hii inayopatikana kandokando ya Ziwa Tanganyika inahifadhiwa na Shirika la ALECO kwa kushirikiana na Wakazi wanaoishi kwenye Visiwa vilivyopo pembezoni ya Ziwa Tanganyika.
Comments (1)