Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Changamoto zote nchini Tanzania  Tukijitoa kikamilifu Kwa moyo mmoja na nia moja Tutatoboa si kwa maneno tu bali kwa vitendo.

Silaha nzuri ya mapambano yetu ni hii;- A. Kila mtu afanye pale anapoweza bila kutegea.

                                                         B. Nguvu zile za kulaumu tuelekeze kutekeleza         kazi  zetu. C. kila mtu na atende kwa moyo sikwa kusukumwa wala kulazimishwa.

 

April 20, 2017
Next »

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.