Envaya

FCS Narrative Report

Utangulizi

AntiPoverty and AIDS Organization
AAO
KUJENGA UWEZO WA UTENDAJI WA ASASI
FCS/RSG/1/10/228
Tarehe: AGOSTI HADI OCTOBAKipindi cha Robo mwaka: KWANZA
Stella Otto

Maelezo ya Mradi

Uimarishaji Asasi za Kiraia
Kwa kuwafundisha viongozi na wanachama juu ya Utawala Bora tutakuwa tumejenga uwezo wa viongozi na wanachama wa asasi. Hii inajumuisha kujua jinsi ya kuanzisha na kuendesha Asasi, kuchanganua na kuandika miradi kwa ajili ya maendeleo ya Asasi pamoja na kuelewa kwa undani juu ya utunzaji na usimamizi mzuri wa fedha na mali za asasi.
MkoaWilayaKataVijijiIdadi ya Wanufaika
MorogoroKat zote 29 za manispaa ya MorogoroMorogorowanachama 22
 Walengwa wa moja kwa mojaWalengwa wasio wa moja kwa moja
Wanawake11wanachama
Wanaume11wanachama
Jumla22wanachama

Shughuli na Matokeo ya Mradi

Wanachama na viongozi wanajua na kuelewa jinsi ya kuendesha asasi kwa njia inayotakiwa
1.Kufundisha na kuelewa juu ya Utawala bora
2. Uibuaji na uandikaji wa miradi
3.Usimamizi na utunzaji wa Fedha na Mali za Asasi
Wanachama na Viongozi wapatao 22 walifundishwa juu ya UTAWALA BORA katika kipindi chote cha robo mwaka kilichoanzia Agosti hadi Octoba.
Hakukuwa na tofauti yeyote katika utekelezaji.
Jumla ya Shs.7,351,000 zilitumika kwa kazi zote ikiwa ni pamoja na Utawala.

Mafanikio au Matunda ya Mradi

Baada ya Mafunzo wote waliohusika walielewa jinsi ya kuendesha Asasi na kutafuta raslimali ikiwa ni pamoja na utunzaji wake.
Kumekuwa na mabadiliko chanya kwa maana sasa viongozi na wanachama wameelewa nini wanatakiwa kufanya ili kuiendeleza Asasi.
N/A
N/A

Mambo Mliyojifunza

Maelezo
Kama watu wakifundishwa na kueleweshwa jinsi ya kuendesha shughuli yeyote wanaweza ;mradi tu wapewe muda.

Changamoto

ChangamotoNamna mlivyokabiliana nazo
Mabadiliko na mfumuko wa bei za vitu Ilibidi tutumie michango ya wanachama ili kufidia pengo lililoonekana

Mahusiano

WadauNamna mlivyoshirikiana nayo
SerikaliWalitupa kibali cha kuendesha mafunzo haya
CMMUTWalishiriki na kutoa ushauri na uzoefu katika kuendesha ASASi

Mipango ya Baadae

Shughuli ZilizopangwaMwezi wa 1Mwezi wa 2Mwezi wa 3
Kuandika Taarifa ya kumalizika kwa mradi na kujiweka sawa kwa ajili ya kutafuta raslimali ili kuendesha ASASI ikiwa ni pamoja na kuomba ruzuku kwa kipindi kijacho

Walengwa Waliofikiwa

    Walengwa wa moja kwa mojaWalengwa wasio wa moja kwa moja
Wajane na WaganeWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Watu wanaoishi na VVU/UKIMWIWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
WazeeWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Watoto YatimaWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
WatotoWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Watu wenye UlemavuWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
VijanaWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Watu wengineWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Kwa wakati huu siyo rahisi kupata takwimu hizi.Ila wakati mwingine kwa kuwa sensa itakuwa imefanyika tutaweza kupata takwimu hizi.

Matukio Mliyoyahudhuria

Aina ya TukioLiniMambo uliyojifunzaHatua zilizochukuliwa
Jinsi ya Kuendesha mipango na miradi pamoja na utunzaji wa vitabu vya mahesabu.Nov, 2010Uendeshaji miradi na utunzaji wa vitabu vya mahesabu Vitabu vyote vinavyohusu miradi na mahesabu vimefunguliwa na vinatumika

Viambatanisho

« Iliyotangulia Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.