Parts of this page are in Swahili. Edit translations
FCS Narrative Report
Introduction
Anti Poverty and AIDS Organization
AAO
KUJENGA UWEZO WA ASASI KUANDIKA MIRADI
FCS/RSG/1/10/228
Dates: September 2011 | Quarter(s): !st Qrt |
Stella Otto, S.L.P.468 Morogoro, stellaotto34@yahoo.com
Project Description
Civil Society Capacity Strengthening
Kwa kuwafundisha viongozi na wanachama juu ya uandikaji wa mchanganuo wa Miradi. Uwzo wa shirika utakuwa umeongezeka juu ya jinsi ya kuandika michanganuo wa miradi
Morogoro Morogoro Kata 29 wanachama 22
Morogoro Morogoro Kata 29 wanachama 22
Region | District | Ward | Villages | Total Beneficiaries |
---|---|---|---|---|
Morogoro | Kata 29 zote za Manispaa ya Morogoro | Morogoro | wanachama 22 |
Direct Beneficiaries | Indirect Beneficiaries | |
---|---|---|
Female | 11 | Wanachama |
Male | 11 | Wanachama |
Total | 22 | 8 |
Project Outputs and Activities
Uelewa wa viongozi na wanachama juu ya uandikaji wa mchanganuo wa miradi umeongezeka.
Mafunzo juu ya Uandikaji miradi ya Asasi ya jamii.
Idadi ya watu 22 wakiwemo wanachama na viongozi walifundishwa jinsi ya kuendesha ASASI katika njia ya kuibua na kuandika miradi warsha ya siku tano iliyofanyika katika ukumbi wa RED CROSS Morogoro.
Mradi wa mafunzo ulitekelezwa kama ulivyopangwa
Kiasi cha Tsh.1,664,000/= zilitimika kwa shughuli hii.
Project Outcomes and Impact
Uwezo wa Wana chama 22 juu ya kutayarisha uandikaji wa michanganuo ya miradi umeongezeka .
Matokeo yataonekana baada ya muda kidogo kupita.
Viongozi na wanachama wamepata elimu ya uibuaji na uandikaji miradi ambayo hawakuwa nayo lakini bado mapema kuona matokeo au mabadiliko.
Ratiba ilifuatwa
Lessons Learned
Explanation |
---|
Mafunzo juu ya uibuaji na uandikaji miradi kwa ajili ya Asasi ni jambo gumu kwa kila mwanachama kuelewa haraka hivyo inahitajika kurudia mafunzo haya mara kwa mara. Wana chama nao wanahitajika kufanya mazoezi kila wakati. |
Challenges
Challenge | How it was overcome |
---|---|
Kwanza kabisa kulikuwa na mfumuko mkubwa wa bei ambao ungetufanya tushindwe kufikia malengo | Tulitumia michango ya wanachama ili kukabiliana na mfumuko huu wa bei. |
Linkages
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Serikali | Kufungua mafunzo na mgeni mwalikwa kuturuhusu kufafanya mafunzo |
CMMUT | Walishiriki na walitoa mchango mkubwa katika uzoefu wa uendeshaji wa ASASI |
YDF | Kutoa mafunzo ya mazoezi |
Future Plans
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Kutoa mafunzo juu ya utunzaji wa rasilimali za shirka na aina zakumbukumbu ya fedha na taratibu za manunuzi kuthibiti uharibifu na kuongeza uwajibikaji. | October | ||
Kundika taarifa ya mwisho | October |
Beneficiaries Reached
Direct Beneficiaries | Indirect Beneficiaries | ||
---|---|---|---|
Widows | Female | Hakuna Taarifa | Hakuna Taarifa |
Male | Hakuna Taarifa | Hakuna Taarifa | |
Total | 0 | (No Response) | |
People living with HIV/AIDS | Female | Hakuna Taarifa | Hakuna Taarifa |
Male | Hakuna Taarifa | Hakuna Taarifa | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Elderly | Female | Hakuna Taarifa | Hakuna Taarifa |
Male | Hakuna Taarifa | Hakuna Taarifa | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Orphans | Female | Hakuna Taarifa | Hakuna Taarifa |
Male | Hakuna Taarifa | Hakuna Taarifa | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Children | Female | Hakuna Taarifa | Hakuna Taarifa |
Male | Hakuna Taarifa | Hakuna Taarifa | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Disabled | Female | Hakuna Taarifa | Hakuna Taarifa |
Male | Hakuna Taarifa | Hakuna Taarifa | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Youth | Female | Hakuna Taarifa | Hakuna Taarifa |
Male | Hakuna Taarifa | Hakuna Taarifa | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Other | Female | Hakuna Taarifa | Hakuna Taarifa |
Male | Hakuna Taarifa | Hakuna Taarifa | |
Total | (No Response) | (No Response) |
Taarifa hii haikuwa rahisi kupata
Events Attended
Type of Event | When | Lessons | Actions Taken |
---|---|---|---|
Usimamizi wa Ruzuku | Feb 2011 | Uendeshaji wa miradi na utunzaji wa vitabu vya hesabu | Tumefungua vitabu vyote vya utunzaji wa kumbukumbu za Asasi |
Jinsi ya kuendesha mipango na miradi pamoja na utunzaji wa vitabu vya hesabu. Nov,2010 Uendeshaji wa miradi na utunzaji wa vitabu vya hesabu Tumefungua vitabu vyote vya utunzaji wa kumbukumbu za Asasi Utunzaji wa kumbukumbu za fedha Feb,2011 | Nov. 2010 | Utunzaji wa vitabu vya fedha | Tumefungua vitabu vyote vya utunzaji wa kumbukumbu za Asasi |