Kwa mashirika |
TunachokifanyaEnvaya inaumba na kueneza programu ya kompyuta ili kuyawezesha na kuyaunganisha mashirika ya kiraia duniani. Tunaumba vifaa vinavyoyaruhusu kujenga tovuti zao wenyewe, na kupa vifaa kwa NGOs kubwa kusaidia bidii hizi za jamii. Jifunze zaidi Mambo MaalumWatoto Yatima na Elimu Tanzania (WAYETA) imehariri ukurasa wa Historia. History of WAYETA – The idea of WAYETA (Watoto Yatima na... Soma zaidi ![]() Songambele Initiative Organisation imeongeza Habari. Home visits to Samwel. – Samuel Mushi, a boy from maili sita Moshi was born with disability... Soma zaidi ![]() SAVE OUR ENVIRONMENT TANZANIA imeongeza Habari 21. Mwenyekiti wa Taifa wa SOET ndugu Derrick Luhende,akifungua mafunzo ya KUIMARISHA HAKI ZA WANAWAKE wa... Soma zaidi RWANDAN STUDENTS OF LAW(RSL) imehariri ukurasa wa CLEC. How does a lawyer contribute to society? – The legal system affects nearly every aspect of our society,... Soma zaidi Mohispac Foundation ina mada mpya kuhusu HOW TO SAVE SHENGENA FOREST FOR TODAY AND FOR FUTURE GENERATION. Mohispac Foundation: We need all stakeholder to discuss on how we can save shengena forest?Not only that but also this discussion will open the way toward to the wonderfully environmental walks which will be taking place on 26may-1 july 2015.All are welcome to participate to the events. – Welcome to share to save. ... Soma zaidi Special educators for disabled and orphans imeumba ukurasa wa Miradi. Home-based counselling for the members of the community,especially who have children with disabilities and orphans. – Provision of... Soma zaidi ![]() Bright Light Organization imeongeza Habari 2. Bright Light Executive Director Mr. Mathew Daniel (left) receiving a grant certificate from US... Soma zaidi PEOPLES ORGANIZATION TRANSPARENCY AGENCY (POTA) imehariri ukurasa wa Jitolee. The organization has a policy for foreingn and local volunters, we require a number of volunteers in many fields like human rights in child,... Soma zaidi TASMOYODET's online meeting with the Resource Alliance conducted on 23, January, 2013 at the headquarter office in Dar Es Salaam: The meeting took... Soma zaidi Tumaini Women Group imehariri ukurasa wa Miradi. Tumaini tunatoa misaada ya elimu kwa watoto yatima na walio katika mazingira magumu zaidi.walengwa wakiwa ;Primary na Secondary. ... Soma zaidi ![]() Lazarus James, a Form Four student at Makiungu Secondary school is given sorghum crop for his food when he is at school. on the... Soma zaidi Advancement for Small and Microenterprises Development in Tanzania (ASMET) imehariri ukurasa wa Jitolee. ASMET requires volunteers in the following positions: – 1. One Field Officers (Based in Dar es Salaam ) – Community... Soma zaidi |
|
Dondoo na Vidokezo kuhusu Uzalishaji kwa ajili ya CBOs na NGOsHivi ni nini kinachosababisha shirika lako liaminike? Liwe katika kiwango cha kupewa ruzuku? Liheshimike katika jamii kwa ujumla na pia litambulike kwenye serikali? Kutokana na ufwatiliaji uliofanywa na REPOA, takriban asilimia 60% ya ruzuku kwaajili ya mashikia yasiokuwa ya kiserikali nchini Tanzania zinatokana na mashirika ya kimataifa. Upataji na ufwatiliaji wa ruzuku ni moja kati ya kazi muhimu sana na pia yenye changamoto nyingi sana kwa mashirika yasiokuwa ya kiserikali. Kujifundisha jinsi ya kupata ruzuku na kukimu mahitaji ya ki fedha kwenye shirika kupitia shuguli za kihisani zitakazo ingiza pesa ni muhimu sana kwaajili ya shirika lako. Je una mawazo yeyote au mada unayotaka uchangie kwenye makala hii? Umewahi kufanya shughuli za kihisani na ukafanikiwa? |